Tumekufikia Ulipo, Tuma pesa kwa Haraka na Uhakika

Huduma Zetu

Haraka

Tunajali muda wako na miamala yetu yote inakamilika kwa haraka sana ndani ya dakika 5 hadi 15 tu.

Unafuu

Tumejikita kutoa huduma bora lakini kwa gharama nafuu zaidi kwa wateja wetu.

Uhakika

Ukitumia huduma zetu unakuwa na uhakika wa kukamilika kwa muamala wako kwa wakati na uhakika.

Huduma kwa Wateja

Kutokauturuki tunajivunia huduma bora kwa wateja na mawakala wetu wako tayari kukuhudumia muda wote wa kazi.

Maoni ya Wateja Kuhusu Huduma Zetu

★★★★★

★★★★★

★★★★★

★★★★★

Tuma Pesa

Majibu ya Maswali ya mara kwa mara

Je, Utaratibu wa Kutuma pesa Kwenda Uturuki ukoje?
  • Tuma ujumbe kwa WhatsApp “Natuma pesa.”
  • Wakala wetu atakutumia rate za siku husika na namba ya kutuma pesa.
  • Tuma pesa kwenda namba uliyopewa kisha utume risiti (SMS/screenshot) ya muamala.
  • Tuma majina kamili na IBAN ya mpokeaji.
  • Wakala wetu atakutumia risiti ya kukamilika kwa muamala wako.
Je, Utaratibu wa Kutuma Pesa Kwenda Tanzania ukoje?
  • Tuma ujumbe kwa WhatsApp “Natuma pesa.”
  • Wakala wetu atakutumia rate za siku husika na IBAN ya kutuma pesa.
  • Tuma pesa kwa TL kwenda IBAN utakayopewa na kisha utume risiti (Dekont) na majina kamili na namba ya mpokeaji kwa wakala wetu.
  • Wakala wetu atakutumia screenshot ya kukamilika kwa muamala wako.
Je, Muamala unachukua muda gani kukamilika?

Miamala yetu yote inakamilika kati ya dakika 5 hadi 15 tu.

Je, mnatumia rate gani za kubadilisha pesa?

Tunatumia rates za GOOGLE kwa miamala yetu yote inayotoka Uturuki. Mara chache sana kunaweza kukawa na tofauti ya sh. 1 au 2. kwa miamala inayotoka Tanzania kwenda Uturuki. Kujua mchanganuo wa muamala wako kabla hujatuma tafadhali tumia calculator yetu hapo juu.